Habari ya leo wana JF,
Kwa yeyote anaehitaji kufungua biashara ya Bar/Pub basi hili bandiko linamfaa.
Ni Pub ambayo bado inafanya kazi hapa Tabata Segerea. Roughly inahitajika kama 5mil Kama uko interested karibu kwa mazungumzo zaidi kwa namba 0655173113.