N ngege Member Joined Jun 29, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jun 30, 2013 #1 Hello, wana jf mi niko arusha mjini maeneo ya soko dogo ninatafuta pikipiki ya kununua ambayo imeshatumika si zaidi ya miezi minne please ni pm no hii 0686164981
Hello, wana jf mi niko arusha mjini maeneo ya soko dogo ninatafuta pikipiki ya kununua ambayo imeshatumika si zaidi ya miezi minne please ni pm no hii 0686164981
B bbenedict Member Joined Jun 30, 2013 Posts 91 Reaction score 7 Jul 1, 2013 #2 Bei sh ngapi mkuu? maana iliyotumika si zaid ya miez m4 ni sawa na mpya.
N ngege Member Joined Jun 29, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jul 2, 2013 Thread starter #3 Mkuu bei ni maelewano lakini pia kama imeshatumika zaidi ya miezi minne tunaweza kuelewana mkuu. Kwa mawasiliano zaidi mkuu hebu ni pm.
Mkuu bei ni maelewano lakini pia kama imeshatumika zaidi ya miezi minne tunaweza kuelewana mkuu. Kwa mawasiliano zaidi mkuu hebu ni pm.