Kunamtu nlimsika akisema milio mauzo ya laki 4 kwa siku katika mtaji huo sio rahisi vip kunaweza kukawa na ukweli hapo.Faida inaweza kuwa kati ya 20% au 30% ya mauzo ya mwaka kulingana na ufanisi wa biashara yako.
Iweke vizuri nikuelewe ๐ค๐ฝKunamtu nlimsika akisema milio mauzo ya laki 4 kwa siku katika mtaji huo sio rahisi vip kunaweza kukawa na ukweli hapo.
Kuna mwanamke hapa kasomea pharmacy na atakufaa mimi nitapata kiasi gani kwenye hili dili la 30m ?Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
Asbuhi unanyaka deal .Kuna mwanamke hapa kasomea pharmacy na atakufaa mimi nitapata kiasi gani kwenye hili dili la 30m ?
Hongera sana jitahidi kutangaza watakuja...wengi utachagua mmoja.....au piga simu vyop Fip.pharmacy omba contact waliomaliza za wanawake wafanyie interview....Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
Usithubutu!Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
eti anatafuta mke mwenye diploma asimamie biashara huyu anatafuta majanga, atakuja kuambiwa wewe sio wa taipu yangu, kwa sababu sikuwa na ajira tu, akaleta msiba MMUHifadhi kwanza pesa zako kabla haujazipukutisha, jipe muda mrefu wa kufanya research ya hiyo biashara....
Jipange sana kuhusu usimamizi, bro jipange sana kuhusu usimamizi, kama unajua hauna muda na hauwezi kusimamia biashara yako bora kuzikunywa tu hizo milions tofauti na hapo utawafungulia watu biashara.
Usijidanganye utafute mke kwa lengo la kukusimamia biashara, usijidanganye......
Au anichukue mimi anisomeshe hiyo dip ya pharmacy kisha anioe tusimamie biashara yetu. ๐คeti anatafuta mke mwenye diploma asimamie biashara huyu anatafuta majanga, atakuja kuambiwa wewe sio wa taipu yangu, kwa sababu sikuwa na ajira tu, akaleta msiba MMU
ushakuwa mshangazi masomo yatakupiga chenga tuAu anichukue mimi anisomeshe hiyo dip ya pharmacy kisha anioe tusimamie biashara yetu. ๐ค
Nipo vizuri darasani shemegi B za kugusa tu, hebu mshaurini huyu kaka yenu.ushakuwa mshangazi masomo yatakupiga chenga tu
hapana shemeji sisi kama wajumbe tumechoka kuwaona vijana wanatoka kamasi kisa nyie, tumeweka msimamo, atakaye tuita kwenye kikao cha harusi lazima tufanye scanning kwanzaNipo vizuri darasani shemegi B za kugusa tu, hebu mshaurini huyu kaka yenu.
๐๐๐ ๐ ๐ ๐kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye