T Timanz New Member Joined Jun 21, 2017 Posts 4 Reaction score 2 Jun 26, 2017 #1 Wakuu habar zenu! Ninahitaji kuchukua mzgo wa nguo kitoka uganda niko dodoma ili nifanye biashara ya nguo! Msaada wa namna na taratibu za kufata hapo ili kufanikisha isue yangu hii' passport ninayo!
Wakuu habar zenu! Ninahitaji kuchukua mzgo wa nguo kitoka uganda niko dodoma ili nifanye biashara ya nguo! Msaada wa namna na taratibu za kufata hapo ili kufanikisha isue yangu hii' passport ninayo!
DE FULE JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,213 Reaction score 714 Jun 27, 2017 #2 Wanakuja, usikate tamaa...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,669 Jun 27, 2017 #3 Poa poa mkuu. Jambo jema sana hilo