Hapohapo kariakoo au sehemu nyingine ndugu?Nilikuwa na capital kama yako nikajikita kwa nguo za kike now am good.
Asante kwa ushauri, tatizo makazi ni Dar na biashara kama hiyo siwezi kutumanaMkuu ukianzisha goli la nguo mikoani hasa Dodoma na vikiwemo na hivyo vyupi kwa mtaji wako baad ya mwaka mmoja uko kwingine kabisaaaa.
Asante kwa ushauri nduguMkuu wavaaji kwa sana niwanawake
Mpendwa kwanini usinunue tu belo lako la mitumbaHabari zenu wakuu, kama title ilivyo hapo juu nimejichanga ili nifungue duka/goli la nguo kariakoo. Mtaji wangu ni 15m (huenda kwa kkoo ni ndogo lakini nimeona niende hukohuko angalau kwa siku watapita wateja wawili watatu kuliko kuanzia huku mtaani ambako naona biashara ni ngumu sana) changamoto nimeshindwa kuamua nijikite nguo za kiume au za kike?
Naomba wenye uzoefu na mitaa hiyo mnishauri kutokana na soko ni zipi zinatoka zaidi maana hali ni tete nisingependa kupoteza hata hiki kidogo nilichonacho.
Pia kuna mdau amenishauri kuliko nguo ni bora nifungue hardware ya vifaa vya umeme....kwa ufupi ndugu zangu sielewi nichague kipi kati ya hivi. Ushauri wenu muhimu sana ndugu zangu.
Nawasilisha.
Mdoa mada anataka kufanya biashara ya nguo sasa wewe unamshauri afanya betting, eti nunua balo la mtumba!Mpendwa kwanini usinunue tu belo lako la mitumba
Kama belo la jeans kali za kike bei ni 600,000 hvi ndani unakuta nguo mpka 250
Balo la mtumba ni betting loohMdoa mada anataka kufanya biashara ya nguo sasa wewe unamshauri afanya betting, eti nunua balo la mtumba!
Balo la mtumba ni betting looh
Ama mitumba si biashara ya nguo