[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hili lakulangua anagalia tu isije ikawa kama korosho, ufugaji ukaingiliwa na jeshi unaweza ukaambiwa kwa kila ng'ombe uonyeshe baba yake na mama yake na wajomba kabla ya konyesha zizi ulilowafugia na uthibitishe uraia wa hao ng'ombe, zama hizi hazitabiriki😀
Sasa tutaenda kufanyia biashara wapi Tz ya kwetu sote ha ha ha.........Mkuu hili lakulangua anagalia tu isije ikawa kama korosho, ufugaji ukaingiliwa na jeshi unaweza ukaambiwa kwa kila ng'ombe uonyeshe baba yake na mama yake na wajomba kabla ya konyesha zizi ulilowafugia na uthibitishe uraia wa hao ng'ombe, zama hizi hazitabiriki😀
Mkuu uko pugu hapo!??mkuu njo pugu mnadani utajifunza kiuhalisia zaidi
hapana