waliyumo Jr110
Member
- Sep 26, 2020
- 31
- 23
Unataka kununua mkuu nikuuzieSio udalali bro
Zambia kweli zinauzika mkuu?...vipi utaratibu wa vibali na ushuru?Peleka Zambia soko nje nje
Nashukuru kiongoziKiwangwa bagamoyo washanza kuvuna
Nlipita jana nmeona kuna watu kutoka arusha na kenya wanavizia mananasi
Ova
Dsm kiongoziUko maeneo gani kwanza
Bei ni makubaliano ya mkulima na mnunuzi!!Naomba kufahamu kuhusu soko la bidhaa hii pendwa kwa sasa hususani Bei yake kutoka shamba, usafirishaji pamoja na soko lake kwa ujumla.