Unahitaji leseni ya biashara,
Ukifika Wilaya/Halmashauri unayonunulia nafaka waone maafisa wa kilimo watakupa utaratibu, kuna leseni pia.
Getini utalipia tzs 1,000 hadi 2,000 kwa kila gunia kama tozo ya Halmashauri.

Kampuni nimefungulia Dar es salaam, nikapewa lessen ya kuuza mazao kutoka Manispaa ya hapa dar, je hii lessen haitoshi mpaka nitafute nyingine kule nakonunua? Kama ndo hivyo nitakuwa nazo ngapi maana nanunua mahindi wilaya mbali mbali