Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 24, 2024 #1 Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 8,665 Reaction score 20,597 Dec 25, 2024 #2 Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc
Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,107 Reaction score 185,380 Dec 26, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 26, 2024 Thread starter #4 The Burning Spear said: Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc Click to expand... Okay Asante
The Burning Spear said: Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etc Click to expand... Okay Asante
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,321 Dec 26, 2024 #5 Gloria EM said: Okay Asante Click to expand... Unauza mwenyewe au unamuachia mtu?
Gloria EM New Member Joined Jan 29, 2022 Posts 3 Reaction score 2 Dec 27, 2024 Thread starter #6 Evelyn Salt said: Unauza mwenyewe au unamuachia mtu? Click to expand... Mwenywe
MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,265 Reaction score 2,315 Jan 2, 2025 #7 Si uchukue kutoka vijijini ukauze mjini ndo utapata faida kubwa
A Anna ndali Senior Member Joined Apr 24, 2017 Posts 117 Reaction score 100 Mar 31, 2025 #8 Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Ulishapata hiyo connection?
Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand... Ulishapata hiyo connection?
A Amon Symphorian New Member Joined Jun 14, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Jun 16, 2025 #9 Kagera chimbo la maharage karibu sana Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand...
Kagera chimbo la maharage karibu sana Gloria EM said: Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!! Click to expand...
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 1,449 Reaction score 2,374 Jun 16, 2025 #10 Amon Symphorian said: Kagera chimbo la maharage karibu sana Click to expand... Naomba elimu hapa kaka. Ukiweka na mtaji wa 3m au 5m naweza kupata faida ngap per trip.
Amon Symphorian said: Kagera chimbo la maharage karibu sana Click to expand... Naomba elimu hapa kaka. Ukiweka na mtaji wa 3m au 5m naweza kupata faida ngap per trip.