Silipingi hili, pengine hujanielewa vyema mkuu, hii biashara zote nilikuwa nafanya wakati huo napiga kitabu chuoni kwa tabu sana maana kile nilichokipata kama mkopo nilijiongeza huko., Hii ya kuwa na uvumilivu kipimo chake ni mpaka ufirisike kabisa mtaji wote uishe?!!!!Biashara zote utaziona hazifai maana huna uvumilivu.
Ili utusue lazima uwe tolerance, kila ukipata changamoto unapiga chini, utapiga chini kila mara
Nunua playstation 4 used laki 6 hadi 5 inayobaki Tv laki 5 chezesha game utakuwa na uhakika wa kulaza15+ per day kama Faida ila Tafuta eneo changamfu .Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote.
Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part time) kwenye taasisi niliyosoma (best student).
Post zangu si nyingi ila natamani sana kuwa na kibiashara cha kuniingizia chochote kitu wakati nahangaika na taaluma yangu.
Plan zangu nyingi napanga naona kama bado sijafanikiwa hasa nifanye kipi.
Nauliza kwa 2.5 M naweza anzisha biashara ipi isiyo na risk kubwa na ambayo nitaisimamia isiathiri utendaji wangu wa kazi huku nilipo.
Nakaribisha mawazo ndugu naomba ieleweke pia. Kipindi nipo chuo nishawahi anzisha biashara (mtaji wa 1.5M nilishirikiana na mwenzangu tukampa ndugu aendeshe) nilipikiwa hesabu kuja kushtuka imebaki laki nane.
Nilianzisha biashara pia mwaka jana ya duka usimamizi ulikuepo ila nikalizwa pia frame nimeikinai japo ina kodi ya miezi miwili mbele.
Karibuni tushauriane ndugu. Nitapokea na Mungu akawabariki zaidi
Ungesema chuo umesomea nini.Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote.
Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part time) kwenye taasisi niliyosoma (best student).
Post zangu si nyingi ila natamani sana kuwa na kibiashara cha kuniingizia chochote kitu wakati nahangaika na taaluma yangu.
Plan zangu nyingi napanga naona kama bado sijafanikiwa hasa nifanye kipi.
Nauliza kwa 2.5 M naweza anzisha biashara ipi isiyo na risk kubwa na ambayo nitaisimamia isiathiri utendaji wangu wa kazi huku nilipo.
Nakaribisha mawazo ndugu naomba ieleweke pia. Kipindi nipo chuo nishawahi anzisha biashara (mtaji wa 1.5M nilishirikiana na mwenzangu tukampa ndugu aendeshe) nilipikiwa hesabu kuja kushtuka imebaki laki nane.
Nilianzisha biashara pia mwaka jana ya duka usimamizi ulikuepo ila nikalizwa pia frame nimeikinai japo ina kodi ya miezi miwili mbele.
Karibuni tushauriane ndugu. Nitapokea na Mungu akawabariki zaidi
Ahsante kwa idea mkuu ngoja nilifanyie kaziNunua playstation 4 used laki 6 hadi 5 inayobaki Tv laki 5 chezesha game utakuwa na uhakika wa kulaza15+ per day kama Faida ila Tafuta eneo changamfu .
Ni Mtaalamu wa Teknolojia ya habari na MifumoUngesema chuo umesomea nini.
Ni kweli idea yangu ni kununua pikipiki mpya niifanye utaratibu wa kupata mtu mzoefu wa hiyo kazi kwa Dsm nimpatie mkataba wa mwaka mmoja inakuwa yake.Mm nafikiri unakitu tayar umeshakifikiria kichwan mwako ww uwezi sema una milion 2 halafu ujui ufanye biashara gani naona kama haipo kamili iyo kichwan
Start an online business. Hutajuta.Ni Mtaalamu wa Teknolojia ya habari na Mifumo
Kama bado utakuwa na wazo hilo la kumpa mtu mkataba wa kuendesha pikipiki naomba niwe dereva.Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote.
Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part time) kwenye taasisi niliyosoma (best student).
Post zangu si nyingi ila natamani sana kuwa na kibiashara cha kuniingizia chochote kitu wakati nahangaika na taaluma yangu.
Plan zangu nyingi napanga naona kama bado sijafanikiwa hasa nifanye kipi.
Nauliza kwa 2.5 M naweza anzisha biashara ipi isiyo na risk kubwa na ambayo nitaisimamia isiathiri utendaji wangu wa kazi huku nilipo.
Nakaribisha mawazo ndugu naomba ieleweke pia. Kipindi nipo chuo nishawahi anzisha biashara (mtaji wa 1.5M nilishirikiana na mwenzangu tukampa ndugu aendeshe) nilipikiwa hesabu kuja kushtuka imebaki laki nane.
Nilianzisha biashara pia mwaka jana ya duka usimamizi ulikuepo ila nikalizwa pia frame nimeikinai japo ina kodi ya miezi miwili mbele.
Karibuni tushauriane ndugu. Nitapokea na Mungu akawabariki zaidi
===Update===
idea yangu kwa sasa ni kununua pikipiki mpya niifanye utaratibu wa kupata mtu mzoefu wa hiyo kazi kwa Dsm nimpatie mkataba wa mwaka mmoja inakuwa yake.
Nitafanya utaratibu wa kufunga mfumo wa kuitrack niweze kuimanage nikiwa kazini hii nadhan itapunguza risk na mauzauza yake
Japo huo ndo uelewa wangu sijajua upande wa pili wa hii biashara upoje