Korie. Ya nazi pia mazuri ila ni gharama upatikanaji wake. Ya alizeti unaweza tumia ila shida yanakuwa na ile harufu ya alizeti.
So option nzuri ni mafuta ya kawaida ila yanabei sana sasa huko mkoani. Kindoo kidogo kinacheza 60,000 hadi 75,000 baadhi ya maeneo. Nani anataka hizo hasara.