Samahani mimi naomba nikutoe kidogo kwenye maada yako mkuu wewe ni mkazi wa mabibo hapo?
Au una fanya biashara tu. Kwanini usifanye biashara ya ndizi na viazi vya chips hapo mabibo sokoni nasikia vina toka sana.
Aa unaujua ukweli wa hii biashara? Kuna mzee alikua ana nishauri niingie kwenye biashara hii kwamba naagiza viazi kwenye fuso mfano gunia 120 au ndizi mikungu 300 au 200.. halafu unauza na madalali sokoni mabibo.
Mkuu kama una jua au ukweli wa hii kitu naomba u share hapa au yeyote anae fahamu atusaidie. Samahani kwa kubaka uzi wako ila naamini sote ni wale wale tina haha kutafuta njia inayo toa ili tufike nchi ya ahadi.