Biashara ya mbao na magogo

cheer

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
35
Reaction score
4
Habari za leo wanabodi,

Kwa mtu binafsi au kampuni ambayo iko tayari kufanya bishara ya magogo au mbao na wachina kuna kampuni ya kichina inatafuta reliable supplier wa mbao au magogo.

Hasa "rosewood " ukiweza kupata.Unaweza kuwasiliana na mimi kwa kuniandikia private meseji.Suala la pesa siyo tatizo cha muhimu tu uweze kupata mbao au magogo yenye ubora na utapeli hautakiwi.Huyu Mchina alishatapeliwa so kama uko seriuos tuwasiliane.

Cheers
 

mbao za mpainivp??
 

Biashara ya mbao na miti pori kupelekwa nje impepigwa marufuku Tanzania
 

Hiyo miti imezuiliwa kuvunwa hapa Tanzania. Lakini pia hata kusafirisha magogo hakuruhusiwi. So huyo mchina ataishia kutapeliwa tu. Kama anachukua slippers za tiki tuwasiliane kwa pm
 
Hebu nipm namba yako tuzungumze kiurefu na kiupana.
 
Ukiangalia mtandaoni makampuni yanayotafuta suppliers au agents ni mengi mno.
 
Sijapokea muitikio wako je umepata tayali? Ni 0752746068
 
Sijapokea muitikio wako je umepata tayali? Ni 0752746068

Habari bandugu,nashukuru kwa mlioonyesha interest,lakini tunatafuta mtu mwenye uzoefu na baishara hii na mabaye anayo kampuni iliyoanda biashara tayari kama ukiachia miti iliyopigwa marufuku ,kama unaweza kusupply teak au wende,hawa wachina wanahitaji pia.Niandikie jacksonmpenda@yahoo.com.
 
Ni call 0682426975
Naitaji mkurungu more than 20 container
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…