GEITA NAFAKA BORA Member Joined Apr 7, 2023 Posts 6 Reaction score 6 Apr 24, 2023 #1 Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
Tajiri wa upendo OG Senior Member Joined Mar 15, 2020 Posts 171 Reaction score 239 Apr 24, 2023 #2 Biashara zote ni bora inategemea na unaiendeshaje, ila kwangu biashara ya nafaka ni bora zaidi
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 831 Reaction score 806 Apr 24, 2023 #3 Nasema nataka ni Bora zaidi ! Kwanini nitafute
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 8,681 Reaction score 20,684 Apr 24, 2023 #4 GEITA NAFAKA BORA said: Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita. Click to expand... Kikubwa ni elimu katika biashara husika. Zote zinalipa lakini pia zote zinaweza kukuangusha vibaya. Angalizo; Biashaa ya nguo unatakiwa uwe smart sana.
GEITA NAFAKA BORA said: Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita. Click to expand... Kikubwa ni elimu katika biashara husika. Zote zinalipa lakini pia zote zinaweza kukuangusha vibaya. Angalizo; Biashaa ya nguo unatakiwa uwe smart sana.
Fauya JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 314 Reaction score 573 Apr 24, 2023 #5 The Burning Spear said: Kikubwa ni elimu katika biashara husika. Zote zinalipa lakini pia zote zinaweza kukuangusha vibaya. Angalizo; Biashaa ya nguo unatakiwa uwe smart sana. Click to expand... Uwe smart kwenye kuvaa au smart kweny nn
The Burning Spear said: Kikubwa ni elimu katika biashara husika. Zote zinalipa lakini pia zote zinaweza kukuangusha vibaya. Angalizo; Biashaa ya nguo unatakiwa uwe smart sana. Click to expand... Uwe smart kwenye kuvaa au smart kweny nn
The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,430 Apr 25, 2023 #6 Fauya said: Uwe smart kwenye kuvaa au smart kweny nn Click to expand... Smart, kichwani
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,740 Reaction score 27,104 Apr 25, 2023 #7 cheza na nafaka kama hutaki kumiza kichwa juu ya biashara isiyo oza wekeza kwenye vipuri vya mapikipiki
cheza na nafaka kama hutaki kumiza kichwa juu ya biashara isiyo oza wekeza kwenye vipuri vya mapikipiki
BONNIE GOLD JF-Expert Member Joined Jan 27, 2021 Posts 470 Reaction score 947 Apr 26, 2023 #8 bhakamu said: Nasema nataka ni Bora zaidi ! Kwanini nitafute Click to expand... Mda wa maokoto mwaisa
bhakamu said: Nasema nataka ni Bora zaidi ! Kwanini nitafute Click to expand... Mda wa maokoto mwaisa