Biashara ya mayai ya kuku wa kisasa

culman

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
29
Reaction score
3
[h=2]Biashara ya mayai ya kuku wa kisas
a[/h]
Wadau wa naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mayai ya kuku wa kisasa anisaidie ushauri juu ya mambo yafuatayo:
1) Je, biashara hii inalipa?
2) Je, ni muda gani mayai huaribika endapo sijauza?
3) Je, wapi naweza kupata mayai kwa bei nzuri na trei ni shilingi ngapi?
4) Trei tupu zinauzwa wapi?

Wadau natanguliza shukrani zangu, nikiamini kuwa mtanisaidia.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…