ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,631
Mkurugenzi sijapenda komenti yako, hebu tulia umshauri aiseeeee!Sio rahisi km ulivyoandika!
Mkurugenzi sijapenda komenti yako, hebu tulia umshauri aiseeeee!
Ndio nilitaka uandike hivi! Good! Sio rahisiEli....! Sio rahisi namna hiyo bwana! Hyo laki 7 anunue vyombo na mkaa na msos..then achukue 10@!...haya mambo kuandika hua easy!...akitaka akae mwenyewe...sio apitie tena...asbh utaombwa 50ya kununulia msos huna kitu!...bisshara yyt mpya bora ukae mwenyew usome mchezo kwanza!...utajikuta huna mkaa..gesi imeisha...msos wa kupika hakuna na una 70!...!
Wazo zuri sana fanyia kazi hilo wazo lako mkuu.. Una mentality nzuri usikubali kuyumbishwa na watu watakaokukatisha tamaa
ok nmkuelewa mkuu, je kwa mawazo yako labda budget yangu iwe ngapi?. kama unaweza na kunipa mchanganuo zaid ya nn nifanye ili wazo langu litimie....Eli....! Sio rahisi namna hiyo bwana! Hyo laki 7 anunue vyombo na mkaa na msos..then achukue 10@!...haya mambo kuandika hua easy!...akitaka akae mwenyewe...sio apitie tena...asbh utaombwa 50ya kununulia msos huna kitu!...bisshara yyt mpya bora ukae mwenyew usome mchezo kwanza!...utajikuta huna mkaa..gesi imeisha...msos wa kupika hakuna na una 70!...!
ndo uniweke sawa sasa, ili ziwe katika reality zisiwe za makaratasi....Mbona Hizo hesabu za makaratasi sana yani
Lakini mkuu uyu si amesema kwamba yeey atafungua alafu atampa mtu aendeshe yeye awe anapitia elfu10 yake tu kila siku ivyo run cost za kila siku ikiwemo na kodi hazitomuhusu ama mimi nimemuelewa vibaya nini boss!!Laki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?
Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri
wewe bado unasoma,biashara na masomo sio mbaya ila epuka maswala ya KODI
watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi
Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini
View attachment 1423917
hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo
yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena
hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela
ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta
pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu
wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha
na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako
ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo
ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 30k,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara
haitokushinda.
Lakini mkuu uyu si amesema kwamba yeey atafungua alafu atampa mtu aendeshe yeye awe anapitia elfu10 yake tu kila siku ivyo run cost za kila siku ikiwemo na kodi hazitomuhusu ama mimi nimemuelewa vibaya nini boss!!
Sent using Jamii Forums mobile app
shukraan mkuu, ntaufanyia kazi ushauriLaki 7 upange frem,ununue na makorokoro yote hayo kwa laki 7 hiyo?
Unaiona laki 7 ni nyingi sana mura kwa maelezo hayo sio? sasa acha nikushauri
wewe bado unasoma,biashara na masomo sio mbaya ila epuka maswala ya KODI
watu wengi biashara wanaziweza kinachowakwamisha ni kodi za frem,sasa ipo hivi
Hiyo laki 7 yote tengeneza kibanda cha chuma cha kuchomelea kama Hiki hapa chini
View attachment 1423917
hiii itakua ndio frem yako kwahyo tengeneza kwa ukubwa unaotaka kulingana na malengo
yako uliyojiwekea,ukishakimaliza kibanda kikakamilika Najua unaweza ukawa huna tena
hela ya mtaji wa biashara maana najua mpk unakisimamisha kibanda kama hicho hela
ambayo itakua mekutoka (utakuja kutusimulia).Sasa baada ya kukimaliza wakati upo unavuta
pumzi "kikodishe" kwa mwezi chukua 30,000 kila mwezi zile 30k ziweke usiziguse zikusanye tu
wakati huo unakusanya hela za mtaji wa biashara yako ya mama ntilie,ukishapata mtaji ukajumlisha
na zile 30k za kodi ya kibanda chako,sasa utafungua mama ntilie yako kwenye kibanda chako
ambapo hutakua unalipa tena kodi mahali popote maana utaenda kukitega kibanda chako maeneo
ya masoko ambapo ushuru kwa siku ni 30k,utafanya biashara bila hofu ya kodi nauhakika biashara
haitokushinda.
Kwa idea yako mi naona iko sahihi mabisa endapo utaamua kukaza buti na kukomaa kweli kwelihaswaaaaaaa nimemaanisha hivyo mkuu
Sent using [Samsung galaxy s10]
Kwa idea yako mi naona iko sahihi mabisa endapo utaamua kukaza buti na kukomaa kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fungua.
Biashara ikikushinda ukiifunga nitafute ninunue hizo sufuria na jiko la gas.