pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
sijaelewa we ni fundi kapenta au? au unataka ununue uuze? hebu jaribu kuanza iyo biashara pale unapokaa
labda ungeanza kufa wewe kwanza uzikwe katika jeneza la kwanza utakalotengeneza
kisha ukiwa huko kuzimu utaona faida za hiyo biashara.
huku TZ Hizi biashara zinafanywa na wakora, ambao akili zao haziko vizuri. Hata ile ya Mortuary!
Mm Ni Fundi seremala miaka 8 sasa.hakuna kazi Nisio ipenda kama Kutengeneza jeneza.
labda ungeanza kufa wewe kwanza uzikwe katika jeneza la kwanza utakalotengeneza
kisha ukiwa huko kuzimu utaona faida za hiyo biashara.