beyond ur limit
Member
- Apr 9, 2013
- 16
- 2
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?

Mimi msimamizi wa afisa mauzo kampuni ya Bajaj Auto T Ltd.wenye brand hizi Bajaj RE 205 Miguu mitatu io,Pikipiki za miguu miwili ni Boxer BM 150,Boxer BM 100,Pulsar,Discover,Baja,Platina n.k niPM nikupe namba kama upo serious for business will speak biashara kwa jumla...n.k
Mkuu "MSIMAMIZI WA AFISA MAUZO" na nyie mnauza vilainishi vya brand gani mkuu?
Mkuu cheki pmHabari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?
special zaidi na zinazoshauliwa zaidi kwa pikipiki...hasa boxer coz asaivi ipo zaidi mtaani ivyo ni fulsa kwake kuteki advantage kwani wengi awauzi vilainishi vyetu ni wachache sana...oil kama SAE 20W50 of API 'SL', JASO MA Grade...ivyo apo nazungumzia bei ya jumla nampatia