Biashara ya kuuza kuku Dar

maneno21

Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
32
Reaction score
31
Wadau habarini za mchana

Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nafanya kazi Lindi lakini likizo hii nataka nifanye biashara ya kutoa kuku mikoani kwenda kuuza Dar (soko la kuku Manzese) kwa ajili ya sikukuu

Kama kuna mdau mwenye uzoefu na biashara hii anijuze mbinu gani nitumie ili nifanikiwe

Masaada wenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…