Habari wajuzi wa mambo. Nimevutiwa Sana na Biashara ya cement.
Naomba Anayeweza nambia njia nzuri ya kufanya Kazi hii in and out. Mtaji wangu ni 3million
Ahsante
Kwanini umevutiwa nayo ? Huenda kuna kitu unachojua / kilichopo katika eneo lako ambacho kitafanya biashara hii kuwa nzuri hata kwa yule atakayekwambia ni mbaya ikawa amepotosha kutokana na wewe kuwa na hicho kitu cha ziada