Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,730 Reaction score 8,821 Oct 9, 2021 #1 Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 May 18, 2024 #2 Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa.
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 May 19, 2024 #3 Mjuni Lwambo said: Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa. Click to expand... Kama uko na idea tupe mkuu
Mjuni Lwambo said: Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa. Click to expand... Kama uko na idea tupe mkuu
plumber hydrogen JF-Expert Member Joined Feb 17, 2022 Posts 913 Reaction score 1,591 May 20, 2024 #4 Biashara nzuri nzuri sana mtaji angalau mbao pc 80 mbao moja 2000 kukodisha kwa siku tatu maeneo mazuri iwe sehemu ya makazi mapya
Biashara nzuri nzuri sana mtaji angalau mbao pc 80 mbao moja 2000 kukodisha kwa siku tatu maeneo mazuri iwe sehemu ya makazi mapya
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 16,105 Reaction score 40,789 May 20, 2024 #5 Embu tuchangie kidogo, umesema?