kaboba360 Member Joined Jan 20, 2019 Posts 41 Reaction score 19 Sep 27, 2020 #1 Ndugu wana Jf nataman tujuzane kwa wale wanaojua ufanyikaji wa biashara hii kwan kumekua na wimbi kubwa la watu kusema kama gar umeichoka bora ukaikate sasa sisi wa mikoan tunashindwa kuelewa.
Ndugu wana Jf nataman tujuzane kwa wale wanaojua ufanyikaji wa biashara hii kwan kumekua na wimbi kubwa la watu kusema kama gar umeichoka bora ukaikate sasa sisi wa mikoan tunashindwa kuelewa.
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Sep 27, 2020 #2 Ngoja nisubiri wadau