Habari wakuu
Naomba kujuzwa ABC za hii biashara ya korosho huko mtwara, hasa kwa mwaka huu inavyokwenda, biashara zimekuwa ngumu inabidi tujaribu kila biashara sasa.
Naomba mwenye kufahamu inafanyika vipi, yaani ununuzi wake na uuzaji wake, maana nasikia kuna minada ndio huwa inafanyika mara tena naambiwa kuna “kagomba “ sijui kama nimepatia, sasa sijapata somo vizuri wakuu.