biashara ya kitchen party........

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
317
imekuwa kama biashara ya waganga wa kienyeji,biashara ya wachungaji na mapepo au mashehe na majini lol....almost inamuaminisha mtu pengine ambaye ni mzima kuwa ana kitu fulani au kuna forces fulani zina act upon him,.......................hii biashara wahusika wakuu siku hizi wanakuaminisha wamekufundisha kitu kumbe ni mule mule tu.................................. katika pita pita yangu .nimekumbana na majina kama kisusio,pundamilia na kuku wa kubanika......:happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy:..........................ni style hizo za kufanya mapenzi lol,sooon na mie nitaanzisha kikundi changu cha kuwafunda wa mwali,nitamwaga radhi na kusema hii style inaitwa pilau linalika leo,kuku kavaa condom....:happy::bange::bange::bange::sleepy::violin:
 
:confused2: hapa tu kiswahili sielewi ingeandikwa kizungu je!!!!!!!
 
Biashara ubunifu wako tu...hivi kweli dunia ya leo kuna mtu hajui mambo za kubanjuana mpaka umfundishe?
Lakini shangaa kitchen parties zisoisha na haijulikani hata zinalenga kufunza nini?...anzisha tu kikundi chako na utapata tenders............Hapa Bongo kila kitu kinawezekana...
 
Kumbe inahusu pilau????
YES to pilau (sumu ya diet plan yangu. LOL)

siku ukija parents day ntakualika nikupikie pilau la mbuzi lililopaliwa na tui zito la nazi
utashushia na juice ya ubuyu yenye hiliki na ice cubes!
nivunjilie mbali diet yako.
 
siku ukija parents day ntakualika nikupikie pilau la mbuzi lililopaliwa na tui zito la nazi
utashushia na juice ya ubuyu yenye hiliki na ice cubes!
nivunjilie mbali diet yako.

Yaani, nimeshaanza kusikia njaa tayari baada ya kuona kitu cha gold ndani ya plate! Stop it pls.
Hunitakii mema, au unataka nami dakika 3 tu; niseme nimechoka! LOL
Nikija nitakutafuta ila niandalie salad na samaki tu; ofcourse juice ya ubuyu mahali pake hapo.
 

af mtu aje hapa aseme mke wangu MVIVU,nani anaruhusu sasa uombe poo dk ya 3 loh!
kitu cha samaki,salad na viazi viwili vya kuchemsha sio?mantakhof mpenzi wangu!
 

Si kwamba hawajui ila wanajaribu kurudisha mila ya zamani japo wanachakachua. Kwa uzoefu wangu mdogo na taarifa nilizozinakili kutoka kwa bibi, miaka hiyo binti akitaka kuolewa anaondoka nyumbani na kwenda kwa shangazi au bibi na huko hufundwa namna ya kuhudumua familia na kumpa penzi mume. Ila kama watu hawa hawako kwenye familia yaani labda wamekufa au wako mbali sana au wagonjwa basi hutafutwa bibi ambaye anaitwa kungwi huyo humfunda mwali tayari kwenda kwa mumewe.
Sasa kutokana na maisha kubadilika watu wanaolewa haraka na mambo hayo yakapotea. Baadhi ya wamama kwa nia nzuri wakaona kunusuru ndoa za mabinti zao ndo wanatafuta sio mtu wa familia ila ni wale wa kulipwa na sijui kwa nini ili aonekane ni fundi kweli au anajua basi atakuwa mtu wa mipasho au mswahili swahili flani hv. Sasa wale wamama wapenda short cut ambao nao pia kwenye ndoa zao wanalipua hawawezi wafundisha binti zao ila wananunua watu ndo maana kila leo wanaibuka wapya na style mpya za kumpa penz mume. Na sio kwamba wanafundisha jinsi ya kufanya mapenz hapana, wanafundisha mitindo na mbinu na utundu au ujanja wa kwenye mapenzi hivyo kuonekana tofauti na wngine au wa mtaani. Wengine wanajiita full package. Ni hilo tuu kadri nijuavyo mimi.
 
hii imenoga
 
Last edited by a moderator:

hii ya kisusio,wametuibia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…