Kazi ipo hapa ngoja wenyewe waje vuta subiraZa jioni ndugu jamaa na marafiki.
Naomben msaada wenu wakina.
Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali yafwatayo÷
*UPANDE WA MUUZAJI*
1/Mauzo kwa siku ni bei gani (kahawa na kashata) na hesabu kwa tajir bei gani?
2/je malazi ya muuzaji ni juu ya bosi au anajitegemea?
*UPANDE WA TAJIRI/MWENYE BIASHARA*
1/gharama ya vyombo (sinia la kashata, birika, vikombe) na vinapatikana wapi?
2/gharama za kahawa, kashata, mkaa na tangawizi kwa siku ni kiasi gani?
3/je kama malazi ya wafanyakazi wake ni juu ya tajiri. Je gharama za chakula? Na matibabu?
4/ili biashara iwe na faida na ilipe inahitaj vijana wangapi wa kufanya kazi?
5/changamoto zikoje kwa upande wa
A)usimamizi?
B)mfanyakazi kutoroka na vitendea kazi?
C)mfanyakazi hajaleta hesabu?
Nilichogundua hapa dar biashara zenye kudhaulika ndio zenye pesa Sana.
Biashara usiyoijua wala usiisemee, kuna mtu alishawahi kunishangaza kwa biashara ya barafu tu!Kati ya biashara ninazozionaga ngumu hiyo inaongoza..kikombe cha kahawa100 na kashata 100.. huyu kwa siku si anauza buku mbili tu huyu?..haf anatembea mji mzima kusaka mia!!!hapa utakua unaletewa faida ya buku kwa siku..hela ndogo sana hiyo haf eti apange chumba!!..mi huwa naona bora uuze madafu tu au mahindi ya kuchoma maana dafu/hindi unaweza pata kwa 300 ukauza buku mpaka 1500 hapo gharama ni baiskeli tu..
biashara usiyoijua wala usiisemee, kuna mtu alishawahi kunishangaza kwa biashara ya barafu tu!
Ni kweli mkuu kama ndoo ndogo ya karoti unanunua kwa buku tano buguruni alafu wewe unuziwa karoti mia mbili kuna faida kiasi gani? au wauza mahindi ya uchoma,nimewahi sikia stori ya mtengeneza kucha kuwa kwa siku amekosasana analaza elfu hamsini,kifupi mtu mchakalikaji ana posibilityya kutoka kimaisha kuliko mtu smart,yaani educatedNilichogundua hapa dar biashara zenye kudhaulika ndio zenye pesa Sana.
Umesema kweli mkuuNilichogundua hapa dar biashara zenye kudhaulika ndio zenye pesa Sana.
Hao jamaa faida wanapatia kwenye kahawa. Kashata wanagharamika sukari, karanga au ufuta, kuziandaa.Kati ya biashara ninazozionaga ngumu hiyo inaongoza..kikombe cha kahawa100 na kashata 100.. huyu kwa siku si anauza buku mbili tu huyu?..haf anatembea mji mzima kusaka mia!!!hapa utakua unaletewa faida ya buku kwa siku..hela ndogo sana hiyo haf eti apange chumba!!..mi huwa naona bora uuze madafu tu au mahindi ya kuchoma maana dafu/hindi unaweza pata kwa 300 ukauza buku mpaka 1500 hapo gharama ni baiskeli tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni mkorofi sana.Sasa Si Mfanye Maneno Mengi Ya Nini ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni mkorofi sana.
Una uhakika na hiki ulicho andika mkuu!?Ni kweli..kuna jamaa anauza kuku wa kukaanga kituo cha daladala, anauza zaidi ya kuku 20 kwa siku..kuku mmoja anamnunua elf 5 kisha yeye kwa kila kuku anapata faida ya zaidi ya buku 5..hii inamaanisha kwa siku anaingiza laki nne huku laki mbili ni faida..huyu halipi kodi yoyote halipi umeme, maji nk. na usafiri wake wa kubeba vifaa ni mkokoteni tu ambao hauna gharama..mtu huyu ana make kumzidi mtu mwenye restaurant anayelipa umeme maji wafanyakazi nk..kwa wiki anaingiza milioni ambayo haikatwi kodi..
Una uhakika na hiki ulicho andika mkuu!?