Habari za muda huu wakubwa zangu,
Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.
Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara
Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
Habari zenu wana jf.
Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala.Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha .Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi?

Kama nyumba ina thamani zaidi ya pesa hiyo utapata, na pili, lazima uwe na biashara,licha ya kwamba hili la biashara unaweza kumtafuta mtu mwenye biashara ambae ni ndugu yako ikawa kama kielelezo. Halafu ukijenga ile hostel unaweza kuihamisha na kuwa dhamana ya pili na kuitoa nyumba.
Hapana...it was just a typing error.but kama Una ushauri wowote naomba unisaidie,nitashukuru sana. AsanteKwa jinsi ulivyoandika hata kama ungekuwa na aseti zote benki wasingekubali kukukopesha yaani hadi uvivu kuchangia mada!
Hiyo biashara ya huyo ndugu yake ni kwamba itakuwa haijasajiliwa? Au angalau hata leseni ya biashara na TIN hana? Ikiwa angalau leseni anayo, so how come leseni imeandikwa mmiliki wa biashara ni Zanzibar Spices halafu Juju_Kiki anatumia the same license kuombea mkopo benki!Kama nyumba ina thamani zaidi ya pesa hiyo utapata, na pili, lazima uwe na biashara,licha ya kwamba hili la biashara unaweza kumtafuta mtu mwenye biashara ambae ni ndugu yako ikawa kama kielelezo. Halafu ukijenga ile hostel unaweza kuihamisha na kuwa dhamana ya pili na kuitoa nyumba.
Habari za muda huu wakubwa zangu,
Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.
Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara
Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
Kwa jinsi ulivyoandika hata kama ungekuwa na aseti zote benki wasingekubali kukukopesha yaani hadi uvivu kuchangia mada!
Benki zinakopesha pia kuanzisha biashara. Ni business plan inayowaconvince.hapo labda uende kwa loan sharks, benki hupati kitu ng'oooo......the sole purpose ya kukopa benki ni kuendeleza biashara, sio kukuvizia ufail ili wauze nyumba yako, ambayo hata wakiiuza hawarudishagi hela yao vilevile