Wapendwa katika biashara, nataka kununua Fuso la kubeba Mizigo ya Mikoani. Sijawahi kufanya biashara yoyote ya kusafirisha mizigo wala ya magari aina yoyote. Ningependa kujua yafuatayo kutoka kwa watu wenye uzoefu na hii biashara;
1. Uchungu na utamu wa hii biashara.
2. Mambo ya kuzingatia katika kuendesha biashara hii.
3. Ni anina gani Fuso ambayo ndo ina faa kwa biashara ya aina hii.
4. Modification zinazotakiwa kufanyika kwenye gari mara baada ya kununua na wapi zinafanyika.
5. Wapi nitapata gari zuri/ website/link au kwa mtu anayeuza hapa hapa nchini.
6. Return on Investiment ikoje.
7. Mengineyo
Asante sana
iMind
ushaur tu mkuu..unaonaje ukanunua fuso yatipa ukawa unaletewa day?kuliko hzi z mikoan inakwend huko hujui kinachoendelea
ushaur tu mkuu..unaonaje ukanunua fuso yatipa ukawa unaletewa day?kuliko hzi z mikoan inakwend huko hujui kinachoendelea
Tipper inalaza tsh ngapi mkuu.ushaur tu mkuu..unaonaje ukanunua fuso yatipa ukawa unaletewa day?kuliko hzi z mikoan inakwend huko hujui kinachoendelea
Mkuu hii ni kama hujajiandaa kisaikolojia ku invest, especially kama hela zenyewe ndo zoooote uliingiza huko. Lakini tunaotaka kujaribu we take it easy. Unaingia kujaribu ukiwa na mawili, kupata au kupoteza. Nilishapoteza hela nyingi hadi nimezoea mkuu. after all nina alternative income.Kama una presha achana na biashara ya magari ukimpigia dereva asipopatikana baati mbaya utaona shida yake au dereva akikupigia ukiwa umepumzika hata kama nia yake ilikuwA kukuambia jambo zuri unatetemeka mimi ilinitesa sana
Asante kwa ushauri. Nitazingatia hilo. Je madalali wanakula kama Tsh ngapi? Na Dereva na Utingo unawalipaje?Kwa sababu ni mara ya kwanza itabidi uwashirikishe madalali wa mizigo,hii itakuwa nafuu sana kwako kwani gari halitakosa mzigo asilani,ila kwa hawa madalali huwa wanapiga cha juu.kwa upande wako uwe makini kwenye mahesabu.kwa kawaida biashara ya gari inabidi irudishe gharama za manunuzi baada ya miezi kumi mpaka miezi 16.kabla ya kuagiza gari waone madalali utajua route gani itakulipa na kwa muda gani.
Wapendwa katika biashara, nataka kununua Fuso la kubeba Mizigo ya Mikoani. Sijawahi kufanya biashara yoyote ya kusafirisha mizigo wala ya magari aina yoyote. Ningependa kujua yafuatayo kutoka kwa watu wenye uzoefu na hii biashara;
1. Uchungu na utamu wa hii biashara.
2. Mambo ya kuzingatia katika kuendesha biashara hii.
3. Ni anina gani Fuso ambayo ndo ina faa kwa biashara ya aina hii.
4. Modification zinazotakiwa kufanyika kwenye gari mara baada ya kununua na wapi zinafanyika.
5. Wapi nitapata gari zuri/ website/link au kwa mtu anayeuza hapa hapa nchini.
6. Return on Investiment ikoje.
7. Mengineyo
Asante sana
iMind
madalali wanakula 10%.gari mkabidhi dereva yeye mambo ya utingo yatakuwa ni juu yake,dereva hana mshahara unamlipa sh.50 kwa kilometer.pia mpe uhuru wa kutafuta mizigo awe kama dalali ili 10% apate yeye.halafu 50 sh kwa km unaiweka inakuwa ni ya emergency kwa ajili ya gari.asante kwa ushauri. Nitazingatia hilo. Je madalali wanakula kama tsh ngapi? Na dereva na utingo unawalipaje?