ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Mbona bei mkasi??Habari,
Kuna mdau alifungua biashara ya Diapers lakini amepata uhamisho kwahio anauza mzigo wake wote kwa bei ya Jumla.
Kama unahitaji mawasiliano nae tafadhali njoo inbox (DM)
View attachment 401470
UFAFANUZI WA NINI?Tunaomba ufafanuzi plz
Elezea vizur sasa watu waelewe zinakaa ngapi kila package na hizo bei ni za jumla amaUFAFANUZI WA NINI?
bei ni za jumla. unahitaji kununua nkutumie namba ya mdau?Elezea vizur sasa watu waelewe zinakaa ngapi kila package na hizo bei ni za jumla ama