1. Umefika eneo husika mteja kaingia mitini , inabid urud na mzgo hapo mafuta umechoma
2. Kutapeliwa , mteja anapokea mzgo kabla hajakupa pesa then anaingia ndani , hafu anapotea mazima
3.usalama , Mteja anakuelekeza umletee mzgo eneo ambalo usalama wako ni mdogo anaweza akawaandaa watu wakakupora
4.Umepeleka mzgo amekulipa fresh , baada ya Muda anakupigia simu mzgo labda haufanyi kazi , inabid urud Tena kwenda kuangalia na kuset vizur ,
5. Bidhaa kukataliwa na mteja , ile umepeleka mteja anakuambia bidhaa na picha hazifanani
hiyo inakuwa imekula kwa mtu