Prisylexa New Member Joined Nov 13, 2020 Posts 2 Reaction score 2 Oct 5, 2021 #1 Habari ndungu wana JF Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz
Habari ndungu wana JF Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz
farharu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 527 Reaction score 589 Oct 5, 2021 #2 Prisylexa said: Habari ndungu wana JF Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz Click to expand... Unataka kuweka eneo gani
Prisylexa said: Habari ndungu wana JF Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz Click to expand... Unataka kuweka eneo gani
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Oct 5, 2021 #3 Hii biashara sasa imekua too mich... hasa kwa Dodoma..
farharu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 527 Reaction score 589 Oct 10, 2021 #4 serio said: Hii biashara sasa imekua too mich... hasa kwa Dodoma.. Click to expand... Kabisa mkuu
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,532 Oct 20, 2021 #5 serio said: Hii biashara sasa imekua too mich... hasa kwa Dodoma.. Click to expand... Mkuu una maana gani sijaelewa hapo. Nina wazo hili pia, tena natamani kuweka ofisi Dodoma, sasa sijaelewa comment yako imemaanisha nini ? serio
serio said: Hii biashara sasa imekua too mich... hasa kwa Dodoma.. Click to expand... Mkuu una maana gani sijaelewa hapo. Nina wazo hili pia, tena natamani kuweka ofisi Dodoma, sasa sijaelewa comment yako imemaanisha nini ? serio
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Oct 21, 2021 #6 Mwanamaji said: Mkuu una maana gani sijaelewa hapo. Nina wazo hili pia, tena natamani kuweka ofisi Dodoma, sasa sijaelewa comment yako imemaanisha nini ? serio Click to expand... Namaanisha kila baada ya kilometer moja kuna car wash.. car wash dodoma zimekua nyingi sana
Mwanamaji said: Mkuu una maana gani sijaelewa hapo. Nina wazo hili pia, tena natamani kuweka ofisi Dodoma, sasa sijaelewa comment yako imemaanisha nini ? serio Click to expand... Namaanisha kila baada ya kilometer moja kuna car wash.. car wash dodoma zimekua nyingi sana
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,739 Oct 21, 2021 #7 serio said: Namaanisha kila baada ya kilometer moja kuna car wash.. car wash dodoma zimekua nyingi sana Click to expand... magari pia yapo mengi,unafanya kile chenye soko
serio said: Namaanisha kila baada ya kilometer moja kuna car wash.. car wash dodoma zimekua nyingi sana Click to expand... magari pia yapo mengi,unafanya kile chenye soko
APPROXIMATELY JF-Expert Member Joined Aug 10, 2021 Posts 2,035 Reaction score 2,739 Oct 21, 2021 #8 farharu said: Kabisa mkuu Click to expand... mti wa matunda ndio unalengwa mawe,ina faida ndio maana imekuwa to much
farharu said: Kabisa mkuu Click to expand... mti wa matunda ndio unalengwa mawe,ina faida ndio maana imekuwa to much