Kama una biashara yoyote unaona kiwango cha mauzo kipo chini nicheki nikuelekeze jinsi yakupost biashara yako kwenye application yetu ya kupatana.com ambapo tumeboresha baadhi ya vipengele
Kama una biashara yoyote unaona kiwango cha mauzo kipo chini nicheki nikuelekeze jinsi yakupost biashara yako kwenye application yetu ya kupatana.com ambapo tumeboresha baadhi ya vipengeleView attachment 1332838
Sasa si umesema km mauzo yako chini yatapanda? Baasi kwenye tangazo weka angalizo kua km biashara yako demand ni ndogo kaa mbali na sisi
On a serious note, hiyo premium ni shs ngapi? Yaani nikilipa tu mnaanza kunitangaza ? For how long?