Biashara na oriflame

Biashara na oriflame

MamaaRehema

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
78
Reaction score
18
Fanya biashara na upate mafanikio na oriflame

Oriflame inakupa bonus mbalimbali ambazo huwezi zipata kutoka katika kampuni yoyote. Je unaweza kufikiria? Ni kiasi gani utaweza kupata kutoka Oriflame?

1) Faida ya (30%)
Utapata faida hii kama ukiamua kuuza bidhaa kwa mteja

2) Performance discount (3%- 21%)
Hapa utapata performance discount katika kila mwezi wa mauzo ya uliowaunganisha Oriflame bila kizuizi ama kikomo cha kupokea malipo.

Orliflame inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi ww na team yako,kila bidhaa unayonunua ina point naujumlishwa mwisho wa mwez unalipwa bonus kuanzia point 200 kwenda juu.
Hii ni point table, oriflame rank / titles na malipo yake
»200~599=3%
Tsh 4700~14,000
»600~1200=6%
Tsh 28,100~56,200
»1200~2399=9% Tsh84,300~168,600
»2400~3999=12%
Tsh 224,900~374,800
»4000~6599=15%
Tsh468,600~773,100
»6600~9999=18%
Tsh
927,800~1,405,70
»10,000~21% =
Tsh 1,640,100 plus

3)Cash award kuanzia $1000
Consultant yeyote atakaye fikia rank kuanzia ya director kwa mara ya kwanza katika oriflame success plan atapewa zawadi ya pesa tasrimu za kimarekani $1000 na habari nzuri ni kwamba dollars hizo zinatolewa kwa kuongezeka kuanzia title inayofuata na kuendelea. "Kama wengine wamepata mimi na wewe tunaanzaje sasa kushindwa kuzipata"

4) Oriflame bonus (4%)
Oriflame pia itakupa bonus ya 4% kutoka kwa sales ya downline wako wote ambao watafikisha rank ya 21%.

5) Car bonus
Oriflame pia inatoa bonus ya magari kupitia oriflame success plan, watu wanapata na mimi na wewe pia hatushindwi kupata.

6) Free foreign trips
Oriflame inakugharamia safari za bure nje ya nchi yako kuanzia level ya gold director.

Wow...unawezafikiri hizi ni ndoto, lakini habari/ stori zote za mafanikio katika hii dunia zilianza na ndoto. Pale mtu anapo amua kuanzisha ama kufanya kitu anacho kiamini na kukipenda.
Hivyo basi kama mtu anaweza waza na kuotamafanikio na akafanikiwa na sisi tunaweza pia na tunawezakupata yote tuliyoandika hapo juu.

Njoo ujiunge na team yangu ya oriflame, utafundishwa biashara
Mimi ninandoto moja tu nataka niitimize na oriflame "Nataka kusafiri na oriflame" Wewe je unandoto gani unataka kuitimiza kupitia oriflame? Share nami ndoto yako na oriflame itatimiza ndoto yako.

Uwe mchapa kazi, na maamuzi ya kufanikiwa hata kama utakatishwa tamaa na wanaokuzunguka. Uwe serious na biashara na uipende kazi yako mafanikio yatakuja.

Jiunge na team yangu katika kutimiza ndoto zako.

Mawasiliano whatsApp / call / text 0717 343635
1472427003083.jpg
1472427016013.jpg
1472427106097.jpg
 
Back
Top Bottom