Biashara mtandaoni

Tzania

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
31
Reaction score
12
Wakuu kwanza habari zenu natafuta sub dealer wa biashara wa kuniunganisha na oda kubwa kwenye makampuni na madukani. Nina shop Dar es Salaam Kariakoo ya tools & hardware mix wa huduma za mikoani na ndani ya Dar es Salaam. Commission itakuwepo kwa mwenye kufanya hiyo kazi na tuna bei elekezi ambayo ni best kwa wateja original na kawaida spana zote za magari ni waagizaji

 
Mkuu unataka mtu atakae kutafutia masoko kwa wanunuaji wa jumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…