Biashara kwa wanavyuo

Chinga_tz

Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
29
Reaction score
44
Jamani ndugu zangu naomba mnisaidiee kujua ni biashara gani nzuri na inayolipa kama mwanachuo ninaweza nikaimudu??
 
Nnuua laundry machine wafulie wanachuo wenzako wavivu kufua....🤣🤣🤣
Wazo zuri sana au tafuta vijana watano mtaani unaanzisha kimradi cha kuwafulia wanachuo unakusanya nguo zao unapeleka kwa vijana wako wanafua jioni unawarudishia wanachuo zikiwa safi kabisa na unaifanya kama biashara kubwa ikikuwa ndio unatafuta mashine
 
Ukiwa na mashine kama mbili hivi, inalipa.Mkuu labda wewe unauzoefu kidogo, nguo wanafulia shingapi..?
Inategemea na eneo na kipato cha watu na aina ya nguo 1,000-4,000/-
 
Swali kauliza Chinga_tz wameliibukia watu wengine.. wajumbe bhana
Chinga_tz wahi hapo chuoni kwako tafuta kipachupachu boom likitoka weka machine boom lote usiweze utakula nini ishi kama ndege ukichelewa wenzako wanaweka washaona fursa hapa...
 
Hili Ni jukwaaa huru, kila mmoja anachangia anachowaza, na kuchukua kitakacho mpendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…