Hivi unaruhusiwa kufungua sehemu ya makaburi bila kibali? Nahisi kama eneo la makaburi lina hati miliki ya serikali na heshima Fulani hivi...! sasa inapokuwa ni sehemu ya uwekezaji inanipa shida kidogo....., vipi mwekezaji akiamua kubadili matumizi ya ardhi yake? au kuna mkataba kwa kila kaburi?