ww ndio utakua na information za kutosha juu ya nini ufanye, maana ww ndio upo hapo dukani na unajua mahitaji ya watu wa hapo. hakikisha unajitahidi kwa kadri uwezavyo kuwafikishia wanachohitaji.
kwa mfano: wakija watu wanataka blueband, na ww huna blueband. basi hakikisha unaileta. na pia ukiwa unajua kwamba utaleta basi usiwaambie kuwa huuzi blueband, waambie waje siku nyingine leo hazipo. (hakikisha unaleta lakini huo mzigo, usiwape ahadi za uongo wateja wako).
apply huo mfano kwa bidhaa nyingine.
kila la kheri.