Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

Status
Not open for further replies.
sounds interesting mkuu, naomba nije PM ,,,,,unipe kitu kama the whole sceleton of this
 
mmmmh...i dont think to open a mobile company for now in this country will strive, maybe another country competition is very high, i asked my self for example there was a mobile company called SMART, where is it now? how about ZANTEL, i want something that is not competitive wise and less challenges especially on vibali things
Fungua kampuni ya mitandao ya simu;hii ndio biashara pekee na halali inayoweza kukupa hiyo faida unayoitaka kwa siku
 
Copy Business Model Ya Azam Ukwaju ( Azam Ice Lolly ).
Tengeneza Mtandao Wa Usambazaji Nchi Nzima.
Ukiuza ( Mfano Ukwaju ) Moja Na Ukapata Faida Ya Tsh 100 !
Na Kama Ukiuza Bars Laki 2 Kwa Siku, Tayari Una Tsh 200,000^100 = Tsh 20,000,000 Kama Profit.
Ukiongeza Mauzo Au Faida Unapata Zaidi.

Si Lazima Ufanye Ukwaju, Unaweza Kucheki Bidhaa Nyingine Yoyote !
 
Asante
 
Good!
 
Unga mkuu
 
Fungua kiwanda cha kubangua korosho and pack them kisasa (for export purpose). Maximum capital is 1m USD. Kiwanda sio cha kienyeji hichi, ni cha kisasa ambacho kila kitu kinafanywa na machines, kuanzia kuchoma, kubangua na kupack (unaweza ukatumia gas ya carbon n.k kwenye ku pack).

Korosho by next year and years to come zitakua balanced kibiashara contrary to this year serikali ilivoyumbisha soko.

Korosho katika soko la dunia ipo below margin ya mahitaji. Yani korosho inatumika zaidi kuliko kupatikana kwake (Demand is more than words could say).
 
Kama Mtaji sio issue nakushauri kanunue Bond za Serikari wanatoa 15.49 p.a kwa miaka 20 na wanatoa gawio mara mbili kwa mwaka,Mfano 20,000,000,000 inakupa 258,166,666.67 kwa mwezi, na hio ni pesa ya Uhakika, haina kukamatwa kodi (haina withholding tax) wala makato yeyote
 
shukrani sana..1m usd its okey
 
is it necessary 20 billion?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…