MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,106 Dec 15, 2014 #1 Jana nilimbetia Sporting Cristal live dakika ya 85 alikuwa anaongoza 2-0 nikampa win nikaweka 100 000. Juan Aurich wakachomoa dakika ya 89 na 90. Mechi ikaisha 2-2. Ilikuwa napata faida shilling 2000.
Jana nilimbetia Sporting Cristal live dakika ya 85 alikuwa anaongoza 2-0 nikampa win nikaweka 100 000. Juan Aurich wakachomoa dakika ya 89 na 90. Mechi ikaisha 2-2. Ilikuwa napata faida shilling 2000.