Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 924
ukishinda, anakula kivipiBetting inalipa sana kwa wamiliki. Yani ukishinda anakula na ukipoteza anakula.
Iife goes on
Si huwa mna-cash out?STORY FUPI
Kuna dogo langu moja amekuja home hapa kama wiki nipo naye leo akasema nifundishe kubeti nikamfundisha aka download Betwinner aka deposit akaandaa odds zake 30 direct win tupu humo πππ
Haya Games zinaenda Arsenal, Liver, Newcastle wote hao aliwapa walitoa akawa na wenge kinoma la shangwe mi sina habari nacheza inplay.
Sasa Game ya Inter inaendelea alafu aliwapa mpaka dk ya 80 1-1 akawa hana amani.
Inter wamepiga kamba dk ya 80+ kashangilia sana Game ikaongezwa dk 6 dk ya 94 ya nyongeza Genoa wamepata Penalty wanataka kusawazisha.
Eti ananiuliza ukitaka kubadilisha unabadilishia wapi nimemuuliza kubadilisha nini akajibu yani kuwatoa inter kwenye mkeka wangu naona wata draw maana bado dk mbili.
Nimecheka kama Mdwanzi leo sijamjibu ila atakuwa kajiongeza why nimechekaπ€£π€£π€£π€£βοΈβοΈ
Betting imemkaribisha mjini mwanachama mpya.ππππππ
Makatoukishinda, anakula kivipi
Sio kampuni zote zina makatoMakato
Watu tunaobeti kupigwa kibuti na Manzil hata sio shida zetu mikeka imetukomaza mnoπKubeti inatakiwa usiwe na matatizo yoyote ya moyo la sivyo utazikwa kabla ya mda wako.
Haya niliyashuhudia kuna siku niliikosa milion2 timu ya mwisho tena dkk za nyongeza,
Nililala chini sakafun kupanda kitandan nilishidwa, hapo ndipo nilijua kubeti hakutaki roho nyepes
Ukienda kwenye jukwaa letu vilio na mitusi ni desturiHahahahah bado mbona mpaka aseme
Wanakata faida yako asilimia flaniSio kampuni zote zina makato
Na hayo makato ni mali ya TRA sio kampuni ya betting
Nimeliwa 130k leoSTORY FUPI
Kuna dogo langu moja amekuja home hapa kama wiki nipo naye leo akasema nifundishe kubeti nikamfundisha aka download Betwinner aka deposit akaandaa odds zake 30 direct win tupu humo πππ
Haya Games zinaenda Arsenal, Liver, Newcastle wote hao aliwapa walitoa akawa na wenge kinoma la shangwe mi sina habari nacheza inplay.
Sasa Game ya Inter inaendelea alafu aliwapa mpaka dk ya 80 1-1 akawa hana amani.
Inter wamepiga kamba dk ya 80+ kashangilia sana Game ikaongezwa dk 6 dk ya 94 ya nyongeza Genoa wamepata Penalty wanataka kusawazisha.
Eti ananiuliza ukitaka kubadilisha unabadilishia wapi nimemuuliza kubadilisha nini akajibu yani kuwatoa inter kwenye mkeka wangu naona wata draw maana bado dk mbili.
Nimecheka kama Mdwanzi leo sijamjibu ila atakuwa kajiongeza why nimechekaπ€£π€£π€£π€£βοΈβοΈ
Betting imemkaribisha mjini mwanachama mpya.ππππππ
Dogo tulia weweee acha porojo jamvinMtu anayebet kupata kipato, hashindwi kumtoa mama yake kafara
Maghayo wazungu washakuharibu. Mimi nimekuwa dogo tena??Dogo tulia weweee acha porojo jamvin