Betri ya simu yangu imevimba mpaga mfuniko haufungi.
Sasa hadi naogopa isije ikanilipukia. Embu wataalam wa simu kujeni hapa muone namna ya kunisaidia maana hiki kimeo ndio kinachoniweka mjini!