Best Min Laptop/Netbook

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Wakuu nataka kupata min laptop ya kuweza fanya kazi zangu in mobility zaidi. Mostly natumia gadgets kama Virtual dj, FL Studio na downloading tasks. Nimepata models mbili ni ambazo Acer Aspire One D270 na Samsung N150. Tatizo nimeshndwa kutambua ipi ni bora katika
perfomance,
battery life
pamoja na uwezo wa kudumu kwa muda mrefu bila kuleta magumashi.
Nishaurini wakuu kuchagua kati ya hzo mashine coz nimejaribu kuzichek reviews online nakuta most of sites na blogs wapo kiushabiki zaid, thats why nataka nipate tips wa wanaozifaham mashize hzo


C.C e2themiza chief-mkwawa MziziMkavu C6 elmagnifico
 
Last edited by a moderator:
kwanza kwa upande wangu napenda niseme kuwa min laptop kwa virtual dj na fl studio inakuwa utata flani coz ya resolution yake nahisi kama inakuwa shida kidogo kuifanyia kazi.
Back to the topic, laptop za min accer aspire nazikubari sana kwa chaji, mimi napenda tu uzingatie processor na ram lakini mostly min laptop zina processor ya 1.6 ghz na 2gb ram.
Mimi kwa upande wangu ningechukua aspire...
 

thanx mkuu, bt nimejarib virtual dj pro v6.0.1 inaplay vizur kwa mashine zote mbili but in defaut theme, yaan uncustomizable interface.
But mkuu nasikia acer ni nzuri ILA HAZIDUMU. Hasa screen na other hardware issues. Vp hapo, kuna ukwel wowote. Na why hujaipenda hyo Samsung,
 
napenda design ya accer, accer hawatengenezi wao wamebaki kuwa ma designer toka mwaka 2000.
na makampuni mengi ya computer hardware wanaunga unga toka kampuni tofauti.
Sidhan kama accer display zao zinaharibika kwakuwa mostly naona display zao zinakuwa za lg kama toshba
 

thanx mkuu, hapo nimefunguka vyema. Am going for Acer. Thanx alot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…