Best Adsense Altenatives

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,401
Reaction score
9,183
Kama tunavyojua adsense ni mtandao bora wa matangazo katika tovuti/blogu zetu lakini wanavigezo vingi licha ya kuwa unaweza kukubaliwa lakini bado akaunti yako inaweza kuwa katika risk mda wote hata kwa kosa usilolifanya wewe mimi nitaweka orodha yangu ila nahitaji na wewe uweke yako alafu tutajua ipi ni bora

1. Adsterra
2. Adcash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…