Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Mnaokumbuka sakata la Hans Kitine kuhusu madai ya hongo ile mwaka 2002 lilipigwa msumari na Bernard Membe alivyotos ushahidi mzito wa jinsi Kitine alivyohusika na madai yale.
Baada ya wiki moja Membe alipata nafasi a mahojiano na gazeti moja kuhusu suala hilo na pia kuhusu masuala mbalimbali ya Wizara ya mambo ya nje ambayo wakati huo ilikuwa chini ya Waziri Jakya Kikwete.
Katika masuala ya nyongeza mwandishi akataka kujua maoni ya Membe kuhusu suala la serikali kuhamia Dodoma ambako ni TAMISEMI tu walioko kule.
Mambe alijibu kwamba yeye kwa maoni yake anaona kwamba suala hilo limebaki kama porojo la kisiasa na utekelezaji wake ni dhahiri umedorora. Akaongeza kwamba "inatubidi tukiri na kukubali kwamba tumeshidwa kuhamia Dodoma".
Hivyo, Membe huo ndiyo msimamo alioutoa kuhusu kuifanya Dodoma kuwa makazi ya serikali.
Bahati mbaya Membe si raisi wa Tanzania. Angepata au akipata huo ndiyo msimamo wake. Kuachana na suala la Dodoma.
Wadau mnasemaje ukizingatia mbio za urais wa 2015 ndani ya CCM

Namtetea Membe.
Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote kwa wakati mbalimbali walisema kuwa serikali kuhamia Dodoma ni kipaumbele cha taifa, na kitatekelezwa wakati wa uongozi wao. Sasa ni miaka 26 toka Mwinyi alivyosema hivyo, ni miaka 16 toka Mkapa alivyosema hivyo, na ni miaka 6 toka Kikwete alivyosema hivyo. Na hakuna hata mmoja wao alihamia au amehamia Dodoma. Na wote watatu wametumia mabilioni kukarabati Magogoni, badala ya kujenga mpya Kizota.
Tukubali, tusikubali kuhamia Dodoma iliondoka na Mwalimu JKN na Membe kama akiwa Raisi hatafanya tofauti na waliomtangulia. Na pia kama taifa, ni lazima tulielewe na kulikubali hilo.
Mkuu zaidi ya Chako ni Chako hamna lolote paleDodma zaidi ya chakochako hamna cha maana cha kutufanya tuhamie huko. Check majengo ya ukweli yanavyooteshwa dar.