Bernard Membe atangulia kumuunga mkono Samia 2025

Watu bado wanapotea na kufa....
Sehemu Gani vimeokotwa viroba? Nani kapotea, nani kabambikiwa kesi au nani kakamatwa Kwa kosa la kumtukana rais?

Kama yapo yametokea wapi na lini?

Tangu 2021/17/03, hayo mambo tumeyasahau kabisa.
 
Ikulu ni taasisi,inajuwa kwanini watu tulikuwa tunawaokota kwenye viroba,Sasa hivi naona ikulu imeamua kuwaWeka kwenye kiroba kimoja wale wote ambao watanzania waliwatumainia ,naona kiroba kinajazwa TU humo kwenye kiroba yumo Mbowe,Lisau,Membe,sugu,lipumba,Membe kuunga mkono kiroba cha kina l9wasa,sumayr, mrema,cheyo,lowasa slaa,kafurila,mdee and others
 
Mama anayewawezesha kuilamba asali hawawezi kumkataa kamwe, nami ningewashangaa kama wangemkataa.
 
Kwani 2025 Samia atagombea na nani?

Maana machadema yote yanaramba asali na yataungana na ccm kumpitisha mama kwa kishindo ili kumkomoa marehemu.
Kumbe rohoni huwa mnaitegemea CHADEMA Kwa upinzani huku mkihubiri kuwaunga mkono kina Cheyo na Mrema? Wewe si humpendi Samia, Kwa nini usihamie TLP mkakiwashe na Mrema wako? Au jiunge na Cheyo ndugu yako muendeleze Sukuma Ganga maana msukuma na Mnyantuzu ni ndugu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Membe yupo sahihi kabisa sasa Rais kama huyu mnyenyekevu asiye na makuu unampinga ili iweje?

Kwani anapingwa kwa ajili ya unyenyekevu au sera? Mnaendekeza siasa za kienyeji mpaka mnashindwa kujua ushindani wa kisiasa ni nini!
 
Ukilinganisha aliyepita na huyu mama, mama Hana shida kabisa, mungu ampe nguvu zaidi
 
Kwani 2025 Samia atagombea na nani?

Maana machadema yote yanaramba asali na yataungana na ccm kumpitisha mama kwa kishindo ili kumkomoa marehemu.

Kama marehemu alivyowakomoa wapinzani
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
Yupo smart zaidi ya unavyomtazama weye🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…