Watu wengi hawafahamu.
Benz kuingiza nchini, Kodi yake si mchezo. Ila ukiwa hapa nchini kuiuza ni issue. Hata milion 3 utauza.
Kikubwa fahamu matatizo yake, na gharama za kurekebisha kabla ya kununua.
Ila kama hufahamu magari, basi usinunue gari lenye matatizo.