BENZ FOR SALE FOR 5.5 MILL

Kumb hiyo nayo benzi na jina haliendan na chombo chrnyewe
 
Ungeiuza mil. 20 ningeinunua.Ila mil.5 sio size yangu. Ndugu zangu watanitenga kununua vitu kwa bei rahisi hivyo.

•Ahahahah..! Mi ni muhaya bana.

sent by Samson Cyper
 
Ni la kuandikia historia kwamba ushawah miliki benz ila matumizi yake itakuwa ni garage kulko barabaran
 
Sijui ni biashara gani ,notaarifa muhimu kama ya mwaka gani,km ngapi imetembea hapa bongo,ilikuja lini,inadaiwa nini,ina shida gani,kwa nini unauza,na mawasiliano ya muuzaji
 
Sijui ni biashara gani ,notaarifa muhimu kama ya mwaka gani,km ngapi imetembea hapa bongo,ilikuja lini,inadaiwa nini,ina shida gani,kwa nini unauza,na mawasiliano ya muuzaji
Halidaiwi mkuu si tumeshasamehewa kodi?mileage 185,000,lilingia mwaka 2006,ni ya mwaka 1998,lina shida ya Air mass na slider vimekufa gharama zake ni 550k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…