Hawa jamaa mpaka miili yao imeshasahau kuvaa nguo za kistaarabu...
Unamaanisha nini hapo hivi huoni siku hizi na nyie mmeamua kuvaa Magwanda tofauti rangi tu, hizo za kwenu utasema za kistaarabu kwa sababu ni za Kijani. Umechemka ndugu.
Hawa jamaa mpaka miili yao imeshasahau kuvaa nguo za kistaarabu...
Katika suala la ukombozi hakuna kuvaa suti ndugu yangu, mnavaa ninyi suti mnapoenda lumumba kupokea posho baada ya kuonyesha coment zako za jf kwa siku.
Kwahiyo hawa wanataka kuikomboa nchi toka kwa watanzania wairudishe kwa mwingereza au mjerumani?
Hawa jamaa mpaka miili yao imeshasahau kuvaa nguo za kistaarabu...
Kwahiyo hawa wanataka kuikomboa nchi toka kwa watanzania wairudishe kwa mwingereza au mjerumani?
Aliyekulaani hayupo duniani,hawezi hata kukusameheKwa mafisadi kwenda kwa wazalendo mkuu simple!