Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,545
- 284,046
huyo ni chawa , chawa hawachaguliwijohnthebaptist naye sijui amepita kwenye mchujo! Au ndiyo sijui mpaka Mzee wake Mgaya awahonge wajumbe!!
Itakuwa Magufuli aliagiza Sabaya amtekeHuyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Moshi Mjini .
Mimi nahusika na habari za siasaBeno.
Alafu wewe Kibibi kizee Habari za Ccm zinakuhusu nini?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Benno Malisa kipindi hiko yeye na kina Masauni na kina Ridhiwani wameishika UVCCM Taifa kisawasawa.
Hakuna mcha Mungu anayeweza kuwa mwanaccmJamaa ni mlokole Sasa hivi..hongera kwake..ANASALI ECG
Hivi masauni nae ni kijana?Benno Malisa kipindi hiko yeye na kina Masauni na kina Ridhiwani wameishika UVCCM Taifa kisawasawa.
Akikataa ulichomueleza adhabu yake iwe kama panya-book!Hakuna mcha Mungu anayeweza kuwa mwanaccm
HakikaAkikataa ulichomueleza adhabu yake iwe kama panya-book!
Mbona nanii alikuwa Mcha Mungu sana.Hakuna mcha Mungu anayeweza kuwa mwanaccm
Sweitani yuleMbona nanii alikuwa Mcha Mungu sana.
yule alikuwa shetani anyevaa sutiMbona nanii alikuwa Mcha Mungu sana.
Wakati huo walikuwa wote UVCCM. Kwa sasa sijui kama ni kijana au si kijana😀😀Hivi masauni nae ni kijana?
Nguvu ya pesa za mbunge wa Moshi mjini, alikuwa campaign manager wakeHuyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Moshi Mjini .
Hii ni political mileage Kwa CCM, Haina AFYA Kwa CDM.Huyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Moshi Mjini .
Haya mambo hatuandiki hivi hivi tuHii ni political mileage Kwa CCM, Haina AFYA Kwa CDM.