Benki ya Walimu Tanzania

unasema kweli ? au nimatumaini tu.





kama imeshindaka, wangerudisha pesa za wanahisa

wengne wanajutia!

ni heri pesa ingenunuliwa mifugo pengne wangeshazaliana

au wangewekeza ktk biashara na kilimo
Imeishaanza, wapo pale Mlimani Tower, mezzanine floor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…