wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Hiyo benki ni viini macho, kuna ndugu yangu ni mwalimu aliniambia tayari imeanza lakini ni kwa Dar es salaam tu.Wadau wa jf.
Hii benki ya walimu imeshaanza kazi za kibenki au bado?, na kama bado nini kikwazo?
Maana mara ya mwisho walitoa orodha ya wanahisa(walimu) walionunua hisa kwenye magazeti.
Kazi ipo.....!!Zamani ziliwahi kufanyika jitihada za kuimarisha benki ya wanawake. Naamini kuna mpango wa benki ya vijana na baadaye benki ya wazee kisha tutamalizia benki ya watoto.
Serikali ya Tanzania inaona suluhu ya huduma bora za kibenki ni kuanzisha benki nyingine badala ya kuimarisha huduma kwa benki zilizopo. Walimu wangekopeshwa kwa riba nafuu hata kwa benki zilizopo hivyo hakuna haja ya walimu kuanzisha benki yao. Ndoto yangu ni kushuhudia benki ya madaktari, madereva na makondakta😛
Hiyo benki ni viini macho, kuna ndugu yangu ni mwalimu aliniambia tayari imeanza lakini ni kwa Dar es salaam tu.
Haya bhana kwa kuwa TUICO, RAAW, TALGWU nk wanachama wao hawalipi ada ya 2% na wanawasaidia sana wanachama wao kudai haki kwa waajiri bila kuchelewa... Mwambie Makonda awaambie TUICO iwafanye walimu kuwa wanachama wake.Natamani kile chama kifutwe kabisa. Danadana za viongozi wake zinachefua
Msemo wa mwananchi nunua hisa kumiliki kampuni ni lugha ya danganya toto kufaidisha wenye nyingi. I will never tryNatamani kile chama kifutwe kabisa. Danadana za viongozi wake zinachefua
Haha mkuu hawa si ndo wale walitangaza ajira za job on training afu mixer wakasema tangazo ni feki! kwel pesa ya walimu imeliwa njenje aisee!baada ya kuperuzi nikapata taarifa kuwa Mwalimu Commercial Bank itaanza kazi May-2016 kwa mtaji wa bilioni 31 Tsh..
inaanza mwezi wa sabaWadau wa jf.
Hii benki ya walimu imeshaanza kazi za kibenki au bado?, na kama bado nini kikwazo?
Maana mara ya mwisho walitoa orodha ya wanahisa(walimu) walionunua hisa kwenye magazeti.
inaanza mwezi wa saba
hivi wanawapigisha watu interviewaksante kwa taarifa.
Walimu njooni hapa
inaanza mwezi wa saba
hivi wanawapigisha watu interview
Haha mkuu hawa si ndo wale walitangaza ajira za job on training afu mixer wakasema tangazo ni feki! kwel pesa ya walimu imeliwa njenje aisee!
Vzr ifunguliwe haraka nchi nzima isaidie walimu. Kwani walimu wanalalamika makato na riba kubwa ya mikopo kwenye mabenk mengine.